DLS23 Friendly Matches

DashboardStagesCompetitorsStatisticsNews
Soccer
Kitayosse Fc yafanikiwa Kupanda daraja
2 years ago - 9/10/2023 6:31 AM GMT-3
Hapo Mwanzo kitayosse Fc ikifahamika kama Faru Dume iliyokuwa katika nafasi ya 4 kwenye Msimamo na kupata nafasi ya kucheza PlayOff na Brazilian Air iliyokuwa nafasi ya 3 kwenye Msimamo.

Matokeo ya Mchezo wa Mkondo wa Kwanza :
✍️ Kitayosse Fc 1 Vs 1 Brazilian Air

Matokeo ya Mchezo wa Mkondo wa Pili:
✍️ Kitayosse Fc 1 Vs 0 Brazilian Air

Na Aggregate kuwa Kitayosse Fc 2 Vs 1 Brazilian Air .


Kwa Ujumla Timu zilizopanda kutoka Championship ni
1. Black Talented International
2. Ndege Fc
3. Kitayosse Fc

Na Timu zilizopisha nafasi Timu hizo kutoka Premier League ni
1. Hashram United
2. Liverbarca
3. Buruklyn Boyz.

Kila la Kheri Msimu ujao kwenu mliopanda