Huko championship Ligi imefika patamu Kwa lugha ya mtaani tunaweza kusema Maji ya Jioni kuna BLACK TALENTED alieongoza toka Ligi inaanza mpk sasa Ligi ikiwa Mwisho ana Points 36 akiwa amemaliza Michezo yake yote.
Nyuma take kuna NDEGE FC ndy Timu Pekee iliyobaki kwenye Mbio za Ubingwa na kama Bingwa sio BLACK TALENTED Bhasi Bingwa atakuwa NDEGE FC ambae Kwa saw ana Points 31 akiwa amecheza Michezo 16 na kubakiwa na Michezo 2 tu ambayo itayomkutanisha na AL HILAL hapo ndy hadithi ya Ubingwa itakuwa inatamatishwa baada ya mechi hiyo kuisha.
Wote tayari wameshapata nafasi ya kupanda DLS23 Premier League Moja Kwa Moja (Direct)
Utofauti wa wao na sisi ni Majina tu ya Ligi tukutane Next season DLS23 Premier League
Try Challenge Place app
A complete multiplatform system to make your life easier!