Ikiwa tunaelekea mwishoni mwa Msimu ndipo tunapoikaribia ratiba ya DLS23 FA CUP itayoanza Siku ya Jumamosi trh 9 September.
Itaanza na mechi za nyumbani na ugeni Kati ya Timu kutoka DLS23 Premier League Vs Timu kutoka DLS23 Championship.
Kwenye hii round ya Kwanza zitahusisha Timu zilizoshika Nafasi ya 7 , 8 , 9 & 10 kwenye Ligi hizo 2 za Juu. Washindi wa Round ya Kwanza wataungana na Top 6 wa Ligi hizo 2 na kucheza Hatua ya 16 Bora nayo inategemewa kuchezwa Jumamosi trh 9 September.
DLS kwetu ni Burudani na Burudani ni Sisi na DLS
Try Challenge Place app
A complete multiplatform system to make your life easier!